Ni majibu uliyotoa katika tafiti zako za wasifu tu yanayoonekana kwenye akaunti yako ya paneli. Unaweza kuyapitia na kuyasasisha katika sehemu ya Wasifu (Profile).
Majibu ya tafiti nyingine zote hukusanywa na mradi wa utafiti na hayaonekani kwenye akaunti yako ya paneli.